KUTOROKA 'MWAMBANI' - Kinachokuzuia si kuta ndefu, bali akili yako.

Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tivu Santee kwahiyo nje ya gereza hakuna ulinzi kabisa
 
Daah yan ukisoma story kama hizi unaweza kupata mizuka ya ajabu ya kujiona mwamba hata kuamua kuvamia bank.
Eeeh mungu niepushe [emoji3][emoji3][emoji3]

Mkuu hiki kisa nimekisoma kama naangalia movie yani. Daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu walikuwa wanawasiliana na ndg yao
Aaah hapo ni akili kubwa ilitumika,wewe kama ungepata nafasi hiyo hata kama ungekuwa unawasiliana na ukoo mzima usingepona mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…