KUTOROKA 'MWAMBANI' - Kinachokuzuia si kuta ndefu, bali akili yako.

Tamu balàa
 
Yan kwanza hao jamaa wadhatorokatoroka sana tu. Alafu wanaenda gereza na kuomba wakae karibu. Ajabu wanawakubalia watu kama hawa wakae karibu. [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi waswahili kwa lugha nyepesi tunaweza kusema unamkabidhi fisi bucha au unamuacha ngedere kwenye ahamba la mahindi.

Pengine polisi walijiaminisha hakuna watakachofanya kutokana na chamgamoto zilizopo katika geraza hilo. Yan hawakuona madhara yatakayojitokeza kwa kukaa kwao karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haitoshi wakapata mpaka nafasi ya kufanya matengenezo. Alafu walivyokuwa wajinga na bwana Allan akaweka na pazia [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana steve huwa unanikosha sana kwa story zako kila ninapoona uzi wako mahali siachi kupitia
 
Ni kweli, kugawa jambo lolote kwenye vipengele vidogo vidogo huleta ufanisi na wepesi wa kulifanikisha.
 
Big up bro umeilezea vizur hii story hao jamaa nadhan hawakufa maji walipona wakakimbilia Mexico huko kwa watabe wenzao
 
Umewasilisha vyema kazi yako, huu ni mkasa wa aina yake pia.
 
Hii story niliisoma kwenye novel moja inaitwa escape from Alcatraz. Ni noma. salute mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…