Kutosimama kwa uume

labda una mawazo sana kuhusu maisha
au una stress kibao
ungetupa na lifestyle yako kwa ufupi ndio tungeweza kukushauri vizuri
kama vile unafanya kazi gani, changamoto za kijamii na za kimaisha ulizonazo, unakula vyakula gani n.k

Ni kweli mkuu, stress za kipato utupelekea wanaume wengi kutokuwa na shauku za kula chakula cha usiku kwa ufanisi.
 
Msaada jamani mwenzenu naweza maliza hata wiki /mwezi uume wangu hausimami,nini tatizo?

Asanteni.
Jamani hausimami ukiwa na mkeo au unataka usimame tu. ni katika tukio gani hausimami?
 
Je Umeoa? Kama bado, je una "demu"?
Sina mke ila nina msichana,kwa kawaida lazima asubuhi jogoo awike lakin kwangu inaweza tokea kwa wiki mara moja au isitokee kabisa
 
Sina mke ila nina msichana,kwa kawaida lazima asubuhi jogoo awike lakin kwangu inaweza tokea kwa wiki mara moja au isitokee kabisa
Ngoja kwanza mkuu kama sijaelewa kitu hapa jogoo hawiki muda gani? Asubuhi ukitoka kuamka au hata kwenye muda wa kugegeda?
 
Ngoja kwanza mkuu kama sijaelewa kitu hapa jogoo hawiki muda gani? Asubuhi ukitoka kuamka au hata kwenye muda wa kugegeda?
Ktk hari ya kawaida unaweza usielewe ila ni tatizo
 
Unataka usimame ile uende WAP?? Subiri kuliwa hii kitu ya WhatsApp bure
 
Huna tatizo wewe ni wasiwasi tu. SIYO LAZIMA uume usimame asubuhi!, Pili wakati mwingine uume unasimama wenyewe wakati ukiwa umelala bila wewe kujijua, Tatu Frequency ya Uume kusimama wenyewe bila sababu za msingi hupungua kadri umri unavyokwenda, Ukiwa Kijana aliyebalehe kitendo cha kuona goti la mwanamke tu kinaweza kukupelekea kudinda, wakati ukifikisha miaka 30 unaweza kuwa na mwanamke chumbani yuko na chupi tupu na usidinde mpaka muanze Romansi, na hata hiyo Romansi inaweza isitoshe vilevile mpaka unyonywe mashine. Kwa hiyo kijana tulia, jiamini kuwa uko fiti, fanya mazoezi, pumzisha akili na kula vizuri ( vitu vya asili)
 
Ngoja kwanza mkuu kama sijaelewa kitu hapa jogoo hawiki muda gani? Asubuhi ukitoka kuamka au hata kwenye muda wa kugegeda?
Jogoo lazima awike asubuhi kama ww ni rijali ukiona imepita ata siku moja ajawika ww unamatatizo
 
Msaada jamani mwenzenu naweza maliza hata wiki /mwezi uume wangu hausimami,nini tatizo?

Asanteni.
ooh pole sana kijana angu usijali na usiweke sana akilini hio hali. ila kwa ushauri zaidi kwa wote watakaoitaji msaada wa kuacha porn,masturbationna kurudisha hadhi ya uume ya mwanzo tafadhali tuwasiliane kupitia ushaurinasaha18@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…