Kutosogea kwa kondo la nyuma katika mfuko wa uzazi laweza sababisha mimba kutoka?

Kutosogea kwa kondo la nyuma katika mfuko wa uzazi laweza sababisha mimba kutoka?

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
habari JF Dr's naombeni kujua etii kutosogea kwa kondo la nyuma katika mfuko wa uzazi laweza sababisha mimba kutoka?

Na nini husababisha hali hii kutokea na nini kifanyike ili kusave mimba isiharibike?

kwenu madaktari....!
 
Back
Top Bottom