Pre-mature Cjui nn nn hko...
Good that, ukimaliza haya na ukaona bado kuna shida, basi mm naweza kusema rudi ktk ulimwengu wa kiroho (Ulimwengu wa vitu visivyoonekana) huo ulimwengu ndio wwnye mamlaka ya kila kitu hapa chini ya blue sky, wao huamua hospital majibu ya namna gan yatoke kwa kukupumbaza wewe, hvo tuu, Spiritual world is everythng, kuwa makini pole hofu isiwepo.Kwa maelezo machache hivyo huwezi kupata jibu hapa. Yapo maswali mengi unayopaswa kuulizwa na uyajibu, yapo yanayopaswa aulizwe mumeo na ayajibu. Kisha vipo vipimo vya maabara na vya ki radiologia ambavyo vitakuhusu wewe na vingine vitamhusu mumeo. Mkusanyiko wa majibu yote hayo ndipo tutaweza kubaini tatizo liko wapi, either kwako, ama kwa mumeo ama wote wawili.
Yafanyie kazi hayo. Ama nitafute PM
Good that, ukimaliza haya na ukaona bado kuna shida, basi mm naweza kusema rudi ktk ulimwengu wa kiroho (Ulimwengu wa vitu visivyoonekana) huo ulimwengu ndio wwnye mamlaka ya kila kitu hapa chini ya blue sky, wao huamua hospital majibu ya namna gan yatoke kwa kukupumbaza wewe, hvo tuu, Spiritual world is everythng, kuwa makini pole hofu isiwepo.
Mimba kutungwa sio automatic my friend.
Ujue kuna very fertile days na siku ambazo uwezekano wa mimba kunasa unakuwa nil.
Kuna favourable sexual positions za kupata uja uzito.
Kuna uwezo wa sperm kuogelea na kufikia yai na kunasa kwenye yai. Kuna issue ya hili yai kuwa limeiva na kuweza kupokea sperm ili conception ama kutungwa kwa mimba kutokee.
Haya yote inabidi uyajue na sio u base kwenye moja.
God shall grant you a child. All the best.
Maelezo ndio hayo mkuu sawa nakuja inboxKwa maelezo machache hivyo huwezi kupata jibu hapa. Yapo maswali mengi unayopaswa kuulizwa na uyajibu, yapo yanayopaswa aulizwe mumeo na ayajibu. Kisha vipo vipimo vya maabara na vya ki radiologia ambavyo vitakuhusu wewe na vingine vitamhusu mumeo. Mkusanyiko wa majibu yote hayo ndipo tutaweza kubaini tatizo liko wapi, either kwako, ama kwa mumeo ama wote wawili.
Yafanyie kazi hayo. Ama nitafute PM
AsanteeeGood that, ukimaliza haya na ukaona bado kuna shida, basi mm naweza kusema rudi ktk ulimwengu wa kiroho (Ulimwengu wa vitu visivyoonekana) huo ulimwengu ndio wwnye mamlaka ya kila kitu hapa chini ya blue sky, wao huamua hospital majibu ya namna gan yatoke kwa kukupumbaza wewe, hvo tuu, Spiritual world is everythng, kuwa makini pole hofu isiwepo.
Nashukuru mkuuKama upo ndan yandoa , unaweza sema kutopata mimba nikwaupande zote mbili .
Ngoja nizungumzie Kwa mwanamke mwenye uwezo wakuzaa( Sio tasa) lkn hapati mimba .
Wanawake wenye mwandamo was siku 18-23 tu hawa huanza kuona ute unaoteleza wauzazi wakati was hedhi ( bleeding). Hawaoni ute mkav kabla yaute wa uzazi . hivyo kwauyu kijiyai chake huchopoka mwisho mwa hedhi au baada ya hedhi ,, KWAIYO HUYU AKITAKA MTOTO NILAZIMA AFANYE TENDO WAKATI WA HEDHI !!.
Kwa mzunguko wa siku 28 zisizobadilika ,naww sio tasa ,,, basi Wenda ikawa sababu yahii..
Mbegu za Mme zinaishi masaa 12 tu
Kijiyai hakichopoki ktk kika mwandamo kinachopoka Mara Kwa Mara kwaiyo nivizur Ku note kila aina ya ute uken na kufanya tendo landoa katika kila ute wauzazi utakapouona .
Achana nakufanya tendo kila siku ,,Bali fanya kila Mara ambapo ute wauzazi utakapoufeel.,hii itasaidia mbegu za me kuiva ...lkn km mtafanys haraka ili mradi mpate mmhhhh unaweza kusubiri..
Kwaiyo nivema ktk siku zisizonauzazi mkutane Mara moja au mbili LKN SIKU ZA UTE WAUZAZI NDO MFANYE SHUGULI HASAA.
Kikubwa mama ajitahidi kutambua aina ya ute unaomtoka uk mwake akikuta niwauzazi basi ndo mkutane .
N.b ,, hayo nimaelezo ikiwa wewe unauwezo wakuzaa (sio tasa ). Namaanisha maungo yako yauzazi yako sawa .
But Kwa utasa izi zaweza kuchangia
- mfuko wa vijiyai haupevushi kijiyai
-mirija imeziba
-uke unawasha
-hormone hazifanyi kazi
-me na ke hampatani rohoni yaan hampo karibu kiroho
- ke unachoshwa nakazi nyingi sana kwaiyo mwili unajipumzisha kwakutoruhusu kijiyai kuiva .
-kua namatezi ktk tumbo lauzazi .
Mwisho , nivema kwenda kupata ushauri hosp
.