Kutotungwa kwa Mimba

mbna umemdondoshea tatizo mkeo ww je?
1, uazalishaji manii kwa kiwango kidogo,; 2, manii kutokuwa na uwezo wa kurutubisha,
Aloandika hapa ni mwanamke mkuu
 
Sasa hapo nakupa vizuri sex position..
Muda wa yai kupevuka
Uwezo wa sperm kuogelea kulifikia yai
 
Habarini wana Jf Doctors...
Nahitaji kujua sababu zipi hupelekea mimba kutokutunga.
Nikimaanisha mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 ambao haubadiliki mara kwa mara ...
Ambae amejaribu kupata ujauzito lakini hapati.... tatizo ni nini.
Tatizo ni kwamba Mungu hajaamua. watoto ni zawado toka kwa Mungu. usilazimishe, subiri kwa wakati wake utapata. wengine wamejaribu hadi kwenda kumsaidia Mungu kwa kwenda kukamuliwa mbegu ulaya ili ziingizwe kwenye uke kwa njia ya mikono wakifikiri Mungu hawezi kusaidia mbegu ilenge yai, lakini bado wanabaunsi tu. nakushauri mwombe Mungu akupe watoto, na usilazimishe wakati ambao Mungu hajaamua. furaha ya maisha sio watoto tu, pamoja na kwamba kuwa na watoto ni furaha kubwa mno. Mungu akusaidie upate, lakini kuna wengine wana watoto na wanatamani wasingezaa. mwingine hana shida kupata mimba, ila mtoto aliyezaa ni zezeta kuanzia akiwa kichanga hadi uzeeni, ni mtu wa kupeleka chooni au kujisaidia hapohapo, haendi shule kama watoto wa wenzie, mwingine mtoto anayemza ndio huyo anakuja kumuua ili apate mali etc. kumbuka pamoja na kwamba sisi wanaume tuna mbegu, ila roho hutoka kwa Mungu, wakati mbegu imeingia kwenya yai ndio Mungu anaingiza roho katikati yake na kiumbe kinafanyika...hivyo Mungu ndio anajua ni wakati gani upate mtoto mwenye faida kwako. ukilazimisha utakuja kujuta. kuna mmoja aliona anasemwa na mawifi na wakwe akaenda kwa mganga, mtoto alipata lakini siku moja amemlaza akatoka nje kurudi pale kitandani akauta mtoto amebadilika kuwa bonge la joka....dah, kupiga kelele akabadilika kuwa ni mtoto tena...kumbe mganga kamwekea tu jini tangu kwenye mimba yeye akafikiri ni mtoto kumbe analea jini, ananyonyesha jini everything ni jini. alipotea hadi leo. ndio maana watu wanasema watoto ni zawadi toka kwa Mungu, usubirie toka kwa Mungu tu. kama ulishawahi kutoa mimba, au kuwa na jeuri, au kujiingiza mambo ya madawa ya kienyeji (hufanya mashetani mwilini ambayo yatazuia), basi tubu, nenda kwenye maombi, Mungu atakupa watoto wa kufurahisha moyo. wakati wa ada kama huu wa mwezi wa saba na wewe utakuwa unaenda kwa wanawake wenzio mnapiga story kuwa mtoto wangu amefungua shule leo.....sio kwenda kusema mtoto wangu nimempeleka shule ya watoto wenye matatizo maalumu....etc. SUBIRIIIIIIIIIII. USICHOKE, SIKU UTAKAPOCHOKA NDIO MUNGU ATAANZIA HAPOHAPO.
 
Nakupata sana mkuu..
 
Ndugu nakushauri kitu, katika maisha yako ili ufanikiwe jambo omba mungu akusaidie huku kuna kitu unafanya.

mfano, hiyo couple iende hospital kwa ajili ya uchunguzi + ushauri wa kiafya at the same time wakiomuomba Mungu hapo kufanikiwa ni rahisi.

Ila wakikaa kusubiria, kama wanatatzo wataisoma no. ata walale church.
 
Haaha eti mbegu zinaishi masaa 12 tu, mkuu kapitie tena unaeza potosha watu.
 

Ni ushauri mzuri, kwamba katika yoooote yanayohusu uumbaji, Ni Mungu anahusika. Lakini yapo mambo kadhaa kisayansi (elimu na akili tulizopewa na Mungu ili kutatua matatizo yetu ya kimwili ) ambayo huveza kuathiri uzazi, mfano magonjwa ya kuambukizwa, magonjwa/vilema vya kurithi (genetic d'ses) ktk via vya uzazi etc. Kazi yetu madaktari hospitali ni kumsaidia mgonjwa kuyajua hayo, na kama yapo kuyatibu yale yenye tiba( temporary infertility) na yasiyo na tiba(permanent infertility) referral ni kwa Mungu.
However, wapo wenye matatizo ya uzazi lakini vipimo vyote vya kisayansi vikaonesha kuwa hamna tatizo! Hawa pia referral ni kwa Mungu, meaning they need sexual counselling, spiritual healing/counselling and deliverance.
This is to say, sio kila tatizo la uzazi anapelekewa Mungu, au kumlalamikia Mungu kwamba ndiye amekunyima. Mgonjwa ana wajibu wa kutekeleza, madaktari wana wajibu wao, and the rest is for God.
 
Nimekusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…