Kutoweka kipaulembele cha kwanza katika kilimo ni sawa na ugaidi

Kutoweka kipaulembele cha kwanza katika kilimo ni sawa na ugaidi

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
85℅ya watanzania ni wakulima,kutokiweka kilimo kama kipaumbele cha kwanza cha taifa ni sawa na kufanya ugaidi.

Tabia za Mwigulu zimejipambanua ktk bajeti ijayo,kilimo kakituma mbali,hii inatoa tafsiri kuwa yeye hana habari na watanzania wakulima.

Mwigulu hana uzalendo na hafai kabisa kuwa Waziri.
 
85℅ya watanzania ni wakulima,kutokiweka kilimo kama kipaumbele cha kwanza cha taifa ni sawa na kufanya ugaidi.

Tabia za mwigulu zimejipambanua ktk bajeti ijayo,kilimo kakituma mbali,hii inatoa tafsiri kuwa yeye hana habari na watanzania wakulima.
Mwigulu hana uzalendo na hafai kabisa kuwa waziri.
Mbali na hilo wataalam wa kilimo hawapewi umuhimu wala kipaumbele kamma wanasiasa
 
Kilimo hakina kiki za kuombea kura,yaani uwekezaji wa kilimo huwezi uona kwa macho kama vile ndege,nk.Mwanasiasa uangalia maslai yake na sio ya nchi.
 
Wangekuwa na nia ya kuwekeza zaidi kwenye kilimo Hakuna machinga wala bodaboda angefanya Kazi hio
 
Mkoloni aliendesha nchi na kutuletea maendeleo makubwa Sana kwa mapato ya kilimo
 
Back
Top Bottom