wakose kabisa ili wapate akili na mwaka 2015 wafanye uchaguz ulio sahihi
Koh koh, excuse me..Dr..? Dr. wa Canon Law?? sasa zina tofauti gani na PhD za m.kwere?Dr wa ukweli aliwa ahidi elimu bure mpaka chuo kikuu mkamdharau na kumnyima kura sasa mambo ndio kama hivyo tena jk hata kuwakopa amegoma,any way poleni sasa cha msingi ni kujiandikisha kwa wingi uchaguzi ujao ili tumtoe huyo mdudu fisadi madarakani.kingine muwaelimishe wazazi wenu kua wizi wanaofanya hawa jamaa wa magamba ndio unaosababisha yote haya.gari alizo nunua riz1 ni heletosha ta kuwasomesha wote,poleni kwa mabomu sasa sijui ndio mafunzo gani hayo mnayopata huko,au kunakozi amanzisha ya kupambana na mabomu ya machozi?
huku kwingine harakati zinaendele soooooooooooon kitatanuka......... tuuuuuuJamani hebu sikieni hii! Zaidi ya wanafunzi elfu moja waliojiunga mwaka wa kwanza mwaka 2011, hawana mkopo chuo kikuu cha Dar es salaam wataishije? wengine wamelazimika kughairi mwaka. leo walipoandamana kujua mustakabali wao, magari ya FFU ndio yaliyotumwa kutoa majibu.
Hivi kweli kama serilkali ya mwalimu isingewafadhili hao wanaowahujumu watoto wa wakulima leo wangekalia hivyo viti na kupulizwa na AC?
Koh koh, excuse me..Dr..? Dr. wa Canon Law?? sasa zina tofauti gani na PhD za m.kwere?
BTW, hakuna muujiza.. hiyo hela ya kusomesha watu bure haipo serikalini..ipo mfukoni mwenu nyie wananchi wakwepa kodi na wavivuna wazembe!
Self-reflection.. very nice.ni bora ukose mali upate akili...
source: ramadhani masanja.
Wanafunzi wa TZ ni wabinafsi na hawana umoja kabisa,yani kwa kuwa baadhi yao wamepata mikopo basi hawataki kuungana na wenzao waliozimwa kwa muda mfupi na hao FFU kwa kutumia mbinu zao za kiintelijensia.WANAFUNZI UNGANENI WOTE HILI TATIZO NDIO LITASHUGHULIKIWA VYUO VYOTE TZ AMKENI.
No one will give you justice,equality and your rights if you know you deserve it take it and never beg for it insteady you demand it.
...Mwalimu hayupo tena. Inabidi mjue namna ya kuishi bila yeye.Jamani hebu sikieni hii! Zaidi ya wanafunzi elfu moja waliojiunga mwaka wa kwanza mwaka 2011, hawana mkopo chuo kikuu cha Dar es salaam wataishije? wengine wamelazimika kughairi mwaka. leo walipoandamana kujua mustakabali wao, magari ya FFU ndio yaliyotumwa kutoa majibu. Hivi kweli kama serilkali ya mwalimu isingewafadhili hao wanaowahujumu watoto wa wakulima leo wangekalia hivyo viti na kupulizwa na AC?