Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kuna harufu ya UTAPELI wa kimataifa,
Habari SERIKALI kuchukua mkopo kienyeji kienyeji na kisha kukatana kwenye usafirishaji imetoka wapi ??
Utaratibu wa wauza mazao wakileta mizigo kwa mafuso ndio serikali inataka kutumia kwenye SGR na treni zetu mpya ambazo zote ni za mkopo.
Awepo mwamba mmoja BINAFSI atatumia bure kwa kivuli cha kujenga kipande kidogo eti TUNAKATA KIDOGO KIDOGO.
KINACHOTAKIWA SERIKALI ICHUKUE MKOPO KOKOTE KISHA IJENGE NA MAREJESHO YAWE YA MIKOPO SIO KUKATANA KWENYE MATUMIZI YA SGR NA TRENI ZOTE ANAKUWA ANASAFIRISHA MIZIGO KWA KUKATANA.
BADALA YA KUKATANA NI VIZURI TULIPE MKOPO KWA UTARATIBU UNAOELEWEKA RASMI