1. Kitu cha kwanza kbc kabla ya kuandika barua Ili usipoteze muda wako , lazima uweze kujua je icho chuo unachotaka kuhamia kinaitaji mtu wa course Yako , njia nyepese ya kujua icho kitu ni kuangalia kama kunawalimu wa part time kwaiyo nafasi unayotaka ww kuhamia kama wapo basi ukiandika barau unaweza kupata nafasi , lakini pia unaweza kuongea na HR yeye anaweza kukuambia vzr kama nafasi zipo au azipo japo sio Wote wanaweza kukuambia icho kitu mwingine anaweza kukujibu Amna nafasi kumbe zipo hapo inategemea na roho ya uyo HR , mtu mwingine wa kuongea nae ni mkuu wa department yy anaweza kukuambia kama nafasi ipo au amna , ukipata jibu kama zipo
2. Sasa hapo ni kuandika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia chuo unachotaka ww , icho chuo watakapokurudishia majibu kuwa wana nafasi ndipo utaandika barua kwenda kwa Katibu Mkuu Utumishi kupitisha kwa Mwajiri wako ( kama upo vzr na mwajiri wako mambo yatakuwa poa ila tofauti na hapo inakuwa vigumu sana kusaign barua Yako , lakini kama sehemu ya kazi ( chuo unachofanya kazi) kinaupungufu wa wafanyakazi inakuwa ngumu kupewa chance ya kuhama labda uwe na kismart chako ) kama ukitaka kuhamia kwenye chuo kingine fanya kwanza kuomba part time sehemu ( chuo) unachotaka kuhamia ukipata tuu fanya kuandika barua ya kuhamia hapo unafanya ivo coz unakuwa upo family na icho chuo tayar so it easy to push the process