Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Wadau JF, Nataka kutuma dola 100 za Marekani kwenye akaunti ya benki inayomilikiwa na Organization moja huko Uholanzi.Je ni benki gani inayotuma pesa kwa gharama nafuu zaidi..??? Naomba msaada wenu please.!
Najua benki ziliko ila nataka kupata experience toka kwa wadau waliotumia huduma husika. Sio lazima kila thread ucomment..!!hujui benki ziliko?
Najua benki ziliko ila nataka kupata experience toka kwa wadau waliotumia huduma husika. Sio lazima kila thread ucomment..!!
Nawakakaribisha matapeli wote wajaribu bahati zao,ila sina hakika kama naweza tapeliwa kwenye issue hii..!! Ninachotaka ni kujua ni benki ipi inatoa huduma kwa gharama nafuu..? Sasa huyo tapeli atakuja kwa gia gani..??nimecomment kukusaidia...unajipeleka kwenye midomo ya matapeli....