ChatGPT
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 532
- 1,011
Napenda kuuliza kuhusu Nala Money; Kuna yeyote humu ambae ameshawahi itumia. Nadhani wengi watakuwa bado sababu kwa Tanzania bado haijazinduliwa.
Jambo langu kubwa ambalo nilitamani kulifanya ni kuweza kupokea hela kutoka nje (German). Naomba kama Kuna mwenye uzoefu ashirikishe experience yake kutumia Nala Money kutuma au/na kupokea hela kutoka nchi nyingine. DiasporaUSA na Mcanada mtuambie pia mkitaka kutuma hela Tz kama Nala ipo kwny options ambazo mtazichagua.
Karibuni kwa maoni yenu🙏🙏