sijui kwa kweli maana mie ni kupokea tuMakato yao yakoje
sijui kwa kweli maana mie ni kupokea tu
ila ukiingia kwenye web/app zao makato yote yanaonekana hapo bila kuficha na exchange rates, makato yanatofautiana ukitumia bank au credit card kutuma fedha
transaction fees wala hazitofautiani sana ki ukweli, maana na kuna ushindani hapoOkay, nitazicheki hizo zako pia nione ipi iko njema zaidi.
View attachment 2563598
Kuna huyu mwamba ni mjerumani anarecomend Wise: the international account | Money without borders anasema transaction ya kwanza ambayo inakuwa chini ya 550€ inakuwa bure. Na kwa 2,500€ rates zinaweza kuwa 25-36€ makato na kupokea 6,249,229,. ambapo ukilipa 36€ unaipokea siku hiyo hiyo ndani ya 24 hours. Nitazilinganisha zote na kuchek ipi niitumie
Asante sana bwana dronedrake kwa mchango wako, umenipa njia, nikikwama nitakucheki✊transaction fees wala hazitofautiani sana ki ukweli, maana na kuna ushindani hapo
kupokea ndani ya 24 hours, hili linategemea, baadhi zinachukua siku, siku 3 mpaka wiki,