kutuma mzigo kutoka nje kuja tz

kutuma mzigo kutoka nje kuja tz

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,736
Reaction score
1,446
habari ndugu wana jamvi!
Naomba mnijulishe ni kampuni gani inaweza kunisafirishia ka computer kutoka poland kuja tz na kwa bei gani? Tafadhari nipo gizani. ka pc kenyewe kakupewa msaada tafadhar
 
Posta ni wazuri mzigo utapta bila usumbufu na nilisikia kutuma computer moja uku TZ kutoa ni bure ila jiandae siunajua wabongo
 
thanx ngoja niende posta nikapate taarifa kamili
 
hataa zikiwa pcs ngapi, computer hazina ushuru tz....ishu ni gharama za usafirishaji kwa uzito wake kutokea huko, na usipoteze number ya mzigo......ili uweze kufuatilia au unaye mtumia aweze kuufuatilia ulipofikia...sijui inaitwa track number au nini, utawauliza number ya mzigo!
 
ndio mkubwa sitosahau hio namba. Kesho naenda kuuliza bei
 
Labda utumie DHL au Fedex ila posta/EMS hapana wezi wa kutupwa hata ukiwa na tracking number sina hamu na posta/EMS ofisi za Dae es Salaam.
 
hataa zikiwa pcs ngapi, computer hazina ushuru tz....ishu ni gharama za usafirishaji kwa uzito wake kutokea huko, na usipoteze number ya mzigo......ili uweze kufuatilia au unaye mtumia aweze kuufuatilia ulipofikia...sijui inaitwa track number au nini, utawauliza number ya mzigo!

Thanx for this kumbe hazina ushuru? Loh asante sikua najua
 
Back
Top Bottom