Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

tired

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
107
Reaction score
23
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
 
Kwani hakuna internet banking huko Sweden mkuu. Jaribu hii maana utahamisha toka kwenye account yako kwenda kwenye NMB account ya huyo unaye mtumia
 
Mpesa kupitia SendWave App
Mkuu hii naona kwenye website yao wanasema ni kutuma kutoka Canada na US to East Africa kuna mtu kashawahi kuitumia hii kutuma kutoka Sweden...? An nchi yoyote nyingine..?
 
Tumia MoneyGram.......huduma poa sana. Mimi huwa naitumia sana MoneyGram kupokea chapaa
 
WorldRemit wako poa sana wana App pia....unaweza tuma hata kwenye mpesa

Nimedownload hii app ya Worldremit kwenye simu yangu nataka kujaribu kutuma pesa Bongo. Kwa aliewahi kuitumia naomba msaada njisi ya kutumia hii Worldremit,kuna sehemu imeandikwa Mobile Account.......... na chini yake tena kuna confirm...... je kwenye izo space unajaza namba ya cm ya mpokeaji hau!?!?
 
Naitumia mara kwa mara. Ndio namba ya unaemtumia kama ni Mpesa / EasyPesa au Tigo Pesa inategemeana na umechagua nini
 
Mkuu hii naona kwenye website yao wanasema ni kutuma kutoka Canada na US to East Africa kuna mtu kashawahi kuitumia hii kutuma kutoka Sweden...? An nchi yoyote nyingine..?

Sendwave ipo limited from only 3-4 countries na pia only Debit Cards allowed kama una American Express / Discover / credit cards haikubali
 
Naitumia mara kwa mara. Ndio namba ya unaemtumia kama ni Mpesa / EasyPesa au Tigo Pesa inategemeana na umechagua nini

ok kwa hiyo kwenye mobile account naweka namba ya naye mtumia pesa,mana inasema maneno 9 ndio yajazwe ina mana naweka namba tu bila 0 then pale chini kwenye confirm narudia tena hiyo namba niliyo weka..
 
Yes thus right namba 9 bila 0 then unairudia....sababu +255 is automatic set up
 
Yes thus right namba 9 bila 0 then unairudia....sababu +255 is automatic set up

thnx mkuu mm natumaga pesa Bongo na west union ila worldremit naona ata bei za kutuma pesa zipo chini totaufi na west union.
 
thnx mkuu mm natumaga pesa Bongo na west union ila worldremit naona ata bei za kutuma pesa zipo chini totaufi na west union.

Offcourse huyu Pirate (Msomali) wa world remit yupo fair sana / westernunion wanapunja kwenye rates kwa mfano dollar wanaibadilisha kwa 1900 wakati ni 2150 exchange rate
 
Offcourse huyu Pirate (Msomali) wa world remit yupo fair sana / westernunion wanapunja kwenye rates kwa mfano dollar wanaibadilisha kwa 1900 wakati ni 2150 exchange rate

yaah worldremit wapo fair na hii service yao ya kutuma pesa kwa M-pesa na Tigopesa bonge la idea,mm nipo Europe sema watu wa uku bado awaja sanuka na hii WorldRemit,wakijua West union kwisha habari yake..
 
Tumia Ria agent kama unakaa miji mikubwa like Stockholm au Malmö
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…