gilbsonassan
Member
- Jul 2, 2015
- 56
- 9
Jamaa naomba msaada nijue ni namna gani mtu ataweza kukutumia pesa akiwa Kenya kwa kutumia Western Union na Mtu akiwa hapa Tanzania afanyaje ili aweze kuzipata hizo fedha na pia Western Union makato yao yapoje na pia mimi nitaipokeaje hiyo fedha.
Naombeni msaada wenu.
Naombeni msaada wenu.