gilbsonassan
Member
- Jul 2, 2015
- 56
- 9
Jamaa naombe msaada nijue ni namna gani ntu ataweza kukutumia pesa akiwa kenya kwa kutumia Western Union na Mtu akiwa hapa Tz afanyaje ili aweze kuzipata hizo fedha na pia Western Union makato yao yapoje na pia mm nitaipokeaje hiyo fedha ....naombeni msaada wenu
Fika ofisi za posta (western union agent) zilizo karibu nawe na utaweza kupata huduma ya western union.Jamaa naombe msaada nijue ni namna gani ntu ataweza kukutumia pesa akiwa kenya kwa kutumia Western Union na Mtu akiwa hapa Tz afanyaje ili aweze kuzipata hizo fedha na pia Western Union makato yao yapoje na pia mm nitaipokeaje hiyo fedha ....naombeni msaada wenu