wakuu naomba kuulza tofaut ya maneno hayo mawili maana yananichenginyi sana. Je,ni sahihi kusema "nimemtuma mtoto aniletee soda" au " nimemuagiza mtoto aniletee soda" ? Shukran za dhat wakuu...!!!
Mkuu hii nimeipeda sana! mimi nadhani ukisema "nimemtuma mtoto aniletee soda" inamaana kwamba kunamawasiliano ya ana kwa ana. ukisema "nimemuagiza mtoto aniletee soda" inamaana kwamba hakuna mawasilianoya ya ana kwa ana.