Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,362
- 2,373
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.