Angekua anazingatia maelezo ya wataalamu uwanja wa chato wala crdb ya chato isingejengwa. Pia bwawa lisinge jengwa.Magufuli alikua akizingatia sana taarifa za wataalam wetu.
Ni wachache sana walionewa kipindi chake.
Maamuzi yake mengi yalikuwa sahihi.
Sote tunashuhudia sasa.
Angekua anazingatia maelezo ya wataalamu uwanja wa chato wala crdb ya chato isingejengwa. Pia bwawa lisinge jengwa.
Ujinga ukizidi huwa upumbavuKila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Chemba alikataliwa lini? Alitolewa mambo ya ndani kwa mbwembwe , akateuliwa Sheria nakatiba kwa mbwembwe.Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
WaapiiMagufuli alikua akizingatia sana taarifa za wataalam wetu.
Ni wachache sana walionewa kipindi chake.
Maamuzi yake mengi yalikuwa sahihi.
Sote tunashuhudia sasa.
Nilidhani labda macho yangu mabovu, kumbe hakuna picha?Ziko wap picha kiazi
nenda chato, kamfufue Uzikwe wewe. vinginevyo ni kelele tu.Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
azitoe wapi?Mtoa mada weka picha
Hivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!nenda chato, kamfufue Uzikwe wewe. vinginevyo ni kelele tu.
unamtofautisha mtu aliye ua, kutesa na kupoteza watu bila sababu na mama wa watu muungwana na mpenda haki yule
unatia kinyaa