Kutumbuliwa kwa Nape: Bahari inazidi kutulia na Mungu anaendelea kuamua ugomvi

Kutumbuliwa kwa Nape: Bahari inazidi kutulia na Mungu anaendelea kuamua ugomvi

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Bado Mungu anaendelea kuipigania nchi hata kama watanzania wengi wamekata tamaa.

Nape alitumbuliwa na Magufuli, ikawa nongwa na mashambulizi yakaanza hadi wazee wenye heshima zao wakaingia kwenye vita ya kumshambulia Magufuli. Napę akavimba bichwa na kukosa muda wa kutafakari utumishi wake.

Nchi ina wenyewe linapokuja suala la uongozi.

Samia alipochukuwa usukani, kawachukua kina Nape tena. Siyo mbaya coz ana mamlaka ya kufanya hivyo. Huenda Magufuli alimuonea Napę? Jibu liko wazi baada ya Samia naye kumchoka.

Yuko bench tena kwa sasa. Ajitafakari na kujifunza.
 
Anafanya kazi maalumu ya kuandaa ilani na kauli mbiu ya uchaguzi,kwahiyo sisi tuendelee kulipa tozo za bi tozomenia
 
Back
Top Bottom