Kutumia Azam Max kwenye Android Tv

Kutumia Azam Max kwenye Android Tv

Nimekuwa nikijaribu kudownload azam max kwenye android tv kupitia goggle playstore lakini imeshindikana kwa kuwa wanasema hai suppprt kwenye Tv.

Je hakuna namna naweza kudownload azam max kwenye tv na kuweza kutazama kwa tv kama ilivyo kupitia simu???
Jaribu ku sideload apk, sema ni hit and miss ina tabia ya kuonesha rangi nyeusi tu ukitumia kwenye tv/Emulators.

Alternative tumia web app yao, fungua browser type


Then ingia ni kama app, kama browser inakubali PWA unaweza ukai add kwenye homescreen kama app.
 
App za AndroidTV zinabidi zipitie process tofauti na App za simu kuruhusiwa kwenye Play store ya TV, Azam haijawa approved kwenye TV. Unaweza kujaribu sideloading lakini nasikia haikubali pia.
 
pole sana mkuu,iyo ishu ilinisumbua sana mapaka leo sijaipatia ufumbuzi,ata ukifanya sideload haiwez suport,Azam tv max ni kwa simu tu mkuu, haujawa aproved kwenye android tv, altenative hapo ni kulog in kwenye web browser ya iyo android tv utaendelea kula maisha,kwa application haiwezekan
 
pole sana mkuu,iyo ishu ilinisumbua sana mapaka leo sijaipatia ufumbuzi,ata ukifanya sideload haiwez suport,Azam tv max ni kwa simu tu mkuu, haujawa aproved kwenye android tv, altenative hapo ni kulog in kwenye web browser ya iyo android tv utaendelea kula maisha,kwa application haiwezekan
mkuu Sijakupata vizuri naomba unielekeze tena nafanyaje kuona hizo channels za azam tv kwenye goggle tv
 
mkuu Sijakupata vizuri naomba unielekeze tena nafanyaje kuona hizo channels za azam tv kwenye goggle tv
kwenye goggle tv yako nenda kwenye web browser kama mozila firefox,operamin, na nyinginenzo,ingia https://web.azamtvmax.com, then endelea kwa ku log in details zako, apo ndipo utafanikiwa kuona azam max kwenye android tv yako mkuu
 
weka picha inavyoload, then internet yako inaspeed nzuri?
10mbps,mbona utube ipo vzr tu na live stream napata
ila azam tu ndo zinazingua
vip wewe kwako inafanya kazi?
 

Attachments

  • IMG_7061.jpeg
    IMG_7061.jpeg
    207.9 KB · Views: 16
Wengi wanaongea humu nadhani hawana androidtv™️ bali wanna "Android TV Box" ambazo sio androidtv™️ ni Android OS ya kawaida hizi zinakubadi karibu kila apk ya simu ila haijatengenezwa maalumu kwa TV interface yake sio remote friendly, androidtv™️ browser zake hazina nguvu kwa kawaida na huwa zinashida kuplay video nyingi but anyway jaribu "TV Bro" kwenye Play store ya TV au search browser kisha jaribu kila browser.

Njia nyingine ambayo inaweza kuwa solution ya muda ni kulogin kwenye laptop/PC Chrome kisha fanya casting kutoka kwenye browser kwenda kwenye TV, mashine zote zinabidi ziwe wifi moja.
 
Back
Top Bottom