THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Jaribu ku sideload apk, sema ni hit and miss ina tabia ya kuonesha rangi nyeusi tu ukitumia kwenye tv/Emulators.Nimekuwa nikijaribu kudownload azam max kwenye android tv kupitia goggle playstore lakini imeshindikana kwa kuwa wanasema hai suppprt kwenye Tv.
Je hakuna namna naweza kudownload azam max kwenye tv na kuweza kutazama kwa tv kama ilivyo kupitia simu???
mkuu Sijakupata vizuri naomba unielekeze tena nafanyaje kuona hizo channels za azam tv kwenye goggle tvpole sana mkuu,iyo ishu ilinisumbua sana mapaka leo sijaipatia ufumbuzi,ata ukifanya sideload haiwez suport,Azam tv max ni kwa simu tu mkuu, haujawa aproved kwenye android tv, altenative hapo ni kulog in kwenye web browser ya iyo android tv utaendelea kula maisha,kwa application haiwezekan
kwenye goggle tv yako nenda kwenye web browser kama mozila firefox,operamin, na nyinginenzo,ingia https://web.azamtvmax.com, then endelea kwa ku log in details zako, apo ndipo utafanikiwa kuona azam max kwenye android tv yako mkuumkuu Sijakupata vizuri naomba unielekeze tena nafanyaje kuona hizo channels za azam tv kwenye goggle tv
ngoja nikirudi usk nitajaribukwenye goggle tv yako nenda kwenye web browser kama mozila firefox,operamin, na nyinginenzo,ingia https://web.azamtvmax.com, then endelea kwa ku log in details zako, apo ndipo utafanikiwa kuona azam max kwenye android tv yako mkuu
umejaribu mkuu?ngoja nikirudi usk nitajaribu
ntaleta mrejesho
mkuu nimejaribu lakini channel zina load tu haziplay chochotekwenye goggle tv yako nenda kwenye web browser kama mozila firefox,operamin, na nyinginenzo,ingia https://web.azamtvmax.com, then endelea kwa ku log in details zako, apo ndipo utafanikiwa kuona azam max kwenye android tv yako mkuu
nimejaribu ila uki select channel ina load tu haimaliziumejaribu mkuu?
weka picha inavyoload, then internet yako inaspeed nzuri?nimejaribu ila uki select channel ina load tu haimalizi
msaada wako pls
10mbps,mbona utube ipo vzr tu na live stream napataweka picha inavyoload, then internet yako inaspeed nzuri?
yeah kwangu natumia mbona ni fresh tu, jaribu kubadilisha web browser10mbps,mbona utube ipo vzr tu na live stream napata
ila azam tu ndo zinazingua
vip wewe kwako inafanya kazi?
mkuu hadi leo sijafanikiwa kwani wewe unatumia web browser ipi?yeah kwangu natumia mbona ni fresh tu, jaribu kubadilisha web browser