Kutumia booklet nying ni mbwembwe tu,

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
655
Reaction score
543
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A

we math utumie booklet moja kisha upate A kwani wanataka majibu tu ?

Kama wanataka na njia tumia booklet nyingi kadri uwezavyo

mwanamke wa kuoa hutakiwi kutumia hela kumnasa
 
Na ndio maana mlio wengi mnakimbiwa kwa upuuzi kama huu wa kumzowesha dem pesa.
 
Aiseeee[emoji2]
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A

[emoji121]

we math utumie booklet moja kisha upate A kwani wanataka majibu tu ?

Kama wanataka na njia tumia booklet nyingi kadri uwezavyo

mwanamke wa kuoa hutakiwi kutumia hela kumnasa
 
Advanced biology tumia booklet 1 uone matokeo kama hutoki na F!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…