Mkuu naomba unieleweshe kidogo. KY ndo jelly yenyewe au ni nini. Naomba pia kirefu chake.
Asante pia kwa ushauri.
kirefu chake ningekiweka hapa sema naogopa ban,nway hiyo Y kirefu chake ni YANGU,hiyo K jiongeze mwenyewe mkuu!
Mmmmmmmmmmmmmmmm K YANGUkirefu chake ningekiweka hapa sema naogopa ban,nway hiyo Y kirefu chake ni YANGU,hiyo K jiongeze mwenyewe mkuu!
Ndugu wana Jf naombeni kufahamu hili jambo. Mimi na mpenzi wangu huwa tunatumia condom, sasa inafika wakati anasema condom inamumiza pale tunapokuwa kwenye mapenzi. Na huwa anajisikia cöndom kuisha yale mafuta yake ndo maana inamuumiza. Sasa nilikuwa nauliza kama kuna jelly au mafuta yoyote ambayo yanaweza kutumika kuifanya condom isiumize na ambayo haitaifanya ipasuke au kuleta madhara kwenye njia ya uzazi. Nawasilisha.
Mmm........!!Huo udoctor wenu mliusomea wapi? Manake unaweza kwenda pharmacy kuulizia dawa ikawa ndo tiketi ya kwenda polisi.
Duuh!umenifurahisha sanapaka mate wewe
Angalia sana na kuwa na tahadhari. Condom haipakwi mafuta ya aina yoyote, sio KY wala jelly ya aina yoyote. Yenyewe inakuwa tayari na mafuta yake. Hilo litakuwa ni tatizo la huyo GF WAKO. Inaonyesha K yake inakauka yale majimaji ya kwenye uke. Chunga UKIMWI UNAUA. Usitembee peku peku.
We nani kakuambia 'K' ikikauka ni tatizo la mwanamke? 'K' inakuwa wet kama mwanamke akiwa excited au akiwa na utayari wa kufanya tendo. Utayari huo upo both psychological and physical...na wewe kama mwanaume inabidi ucheze na vyote kumuandaa mpenzio, yaani psychologically awe na hamu/utamani wa kufanya tendo, kisha physically kwa fore play ya nguvu...kitu kitakavyokuwa wet mbona utatatafuta taulo!
Acha short cut kukimbilia KY jelly...mkamue maji huyo mtoto uache kumuumiza!