Hao ni wasomi ambao hawajaelimika. Inawezekana wameenda Shule kukariri tu.Hapo tatizo siyo usomi ni ushamba na ulimbukeni wa madaraka
Mada yako Ni Moto unaounguza,nasikitika watu wa ajabu Kama mtu anejiita Mzee Mwanakijiji na Pascal Mayala wangekua na wao walimsikia Bashiri Ali Katibu Mkuu wa CCM alipokua akiyatamka hayo kwa kinywa chake.Lakini bahati mbaya hawakumsikia.Maneno aliyoyatamka katibu mkuu wa ccm ambaye na yeye kiukweli ulinzi wake ni mkubwa kupitiliza kwa maoni yangu, nadhani baada ya waziri mkuu(nimeshawahi kushuhudia msafara wake), yanaonyesha ulevi mbwa wa madaraka!
Pascal Mayala hawezi kuja kwa uzi huu na yule mtu Mwanakijiji.Huwa ananikumbushia sana Pascal Mayalla , wamefanana sana uandishi nk.
Mimi nadhani hamkuelewa kauli ya katibu na tatizo letu watanzania kila kauli kutoka ccm uwa tunaichukulia kipinzani naomba ukasikilize tena maana Juma kaparatu aliomba katibu aweke sawa maelezo na aliongea vizur usipotoshe uma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo alikuwa anamaanisha chama chake Ccm ni chama dola.Statements za katibu wa CCM zinaonyesha ukakasi kwa demokrasia yetu!!
Ati mwenye dola atumie dola yake kujiwekea uzio wa kisiasa dhidi ya wenzake..hii hoja haikubaliki kabisa.
Kauli za Katibu Mkuu wa chama dola hadi ipate wakalimani ndiyo waifafanue?Tena wakalimani wake wengi ni STD VII failures.Halafu wengine wanamtetea eti tumemuelewa vibaya...msomi kama yeye anawezaje kusema vitu halafu hadhira isielewe..??
Sasa na we jamaa umechemka vibaya sana.Mimi ninachojua ,Bashiru alikuwa anaiongelea dola(serikali) na sio vyombo vya dola (polisi n.k). Mafanikio ya serikali ndio uhakika Wa chama chenye madaraka kuendelea kutawala kwa kuwa serikali ndio dola inayochaguliwa na watu.
Mzee Mwanakijiji pamoja na Pascal Mayalla , hata mimi kiukweli wamenishangaza sana. The latter yeye ni muumini wa ccm kutawala milele na rais kuongezewa muda! Tena yeye ana wish kwamba baada ya Maghufuli ni zamu ya Makonda!!Mada yako Ni Moto unaounguza,nasikitika watu wa ajabu Kama mtu anejiita Mzee Mwanakijiji na Pascal Mayala wangekua na wao walimsikia Bashiri Ali Katibu Mkuu wa CCM alipokua akiyatamka hayo kwa kinywa chake.Lakini bahati mbaya hawakumsikia.
Pascal Mayalla hawezi kuleta pua hapa. Hana hoja ya kuweza kupambana. Atakuja na hoja gani? Na wakati yeye mwenyewe yuko kwenye mission? Ni mwandishi ambaye hata ushirikiano wake na waandishi wenzake una utata. Mfano nchi za wenzetu, wana habari wanashirikiana sana inapokuja kwenye maslahi ya kazi zao, hata kama wana mitazamo ya tofauti.Pascal Mayala hawezi kuja kwa uzi huu na yule mtu Mwanakijiji.
Mimi ninachojua ,Bashiru alikuwa anaiongelea dola(serikali) na sio vyombo vya dola (polisi n.k). Mafanikio ya serikali ndio uhakika Wa chama chenye madaraka kuendelea kutawala kwa kuwa serikali ndio dola inayochaguliwa na watu.
Hawana hoja na hawezi kurudi kukujibu. Huwezi kuona kina thetallest na BASIASI wakileta pua hapa maana hawana hoja. The latter ameanzisha thread yenye kumtetea katibu mkuu ina pumba kishenzi. Akija kusoma hapa hatothubutu kuchangia maana ni upupu tu.Una uwezo mdogo wa kufikiri sawa na wafuasi wa ccm, so neno serikali linahitaji tasfida mpaka atumie neno dola? Kichwa chako kazi yake siyo kufugua nywele, kitumie vizuri kwa kazi kusudiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada yako Ni Moto unaounguza,nasikitika watu wa ajabu Kama mtu anejiita Mzee Mwanakijiji na Pascal Mayala wangekua na wao walimsikia Bashiri Ali Katibu Mkuu wa CCM alipokua akiyatamka hayo kwa kinywa chake.Lakini bahati mbaya hawakumsikia.
Huwa ananikumbushia sana Pascal Mayalla , wamefanana sana uandishi nk.
Pascal Mayala hawezi kuja kwa uzi huu na yule mtu Mwanakijiji.
Mzee Mwanakijiji pamoja na Pascal Mayalla , hata mimi kiukweli wamenishangaza sana. The latter yeye ni muumini wa ccm kutawala milele na rais kuongezewa muda! Tena yeye ana wish kwamba baada ya Maghufuli ni zamu ya Makonda!!
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Leo hii Mwanakijiji ni muumini wa ccm!!🤦🏾♂️
Hii ni sawa tu na kuyabugia matapishi yako ukijiaminisha ni mlo wa ukweli!
Asanteni kwa hoja zenu, za kuzingatiwa nitazingatia.Pascal Mayalla hawezi kuleta pua hapa. Hana hoja ya kuweza kupambana. Atakuja na hoja gani? Na wakati yeye mwenyewe yuko kwenye mission?
Asante Mkuu,lakini sijakusikia walau ukilaani tu ule uhuni aliofanyiwa mbowe hai,lakini pia Nini maoni yako Kama vijana wa CDM wangekua wamevamia mkutano wa CCM namna ile unafikiri Ni Nini kingetokea hapa chini.Tuseme tu mkutano wa Bashiri au Polepole.Asanteni kwa hoja zenu, za kuzingatiwa nitazingatia.
Angalau nami nimeshiriki thread hii kwa kuchangia, mchango wangu huu.
P
Mkuu Pascal Asante walau kwa kujibu tu,kitu kikubwa ulichojaaliwa na Mungu Ni heshima,huna dharau huna kisirani,huchukii.Asanteni kwa hoja zenu, za kuzingatiwa nitazingatia.
Angalau nami nimeshiriki thread hii kwa kuchangia, mchango wangu huu.
P
Nawaonana wakifuatilia kwa makini,matamko ya Dr Bashiru yangetamkwa na minor,angekuwa Segerea via Kisutu.Mada yako Ni Moto unaounguza,nasikitika watu wa ajabu Kama mtu anejiita Mzee Mwanakijiji na Pascal Mayala wangekua na wao walimsikia Bashiri Ali Katibu Mkuu wa CCM alipokua akiyatamka hayo kwa kinywa chake.Lakini bahati mbaya hawakumsikia.
Tunahitaji kusoma mawazo yako kuhusiana na hoja za Dr Bashiru,Pascal you deserves more than what you gave us.Asanteni kwa hoja zenu, za kuzingatiwa nitazingatia.
Angalau nami nimeshiriki thread hii kwa kuchangia, mchango wangu huu.
P
ccm ya magu,polepole na bashiru ni zaidi ya corona!Wanajamvi, hivi kutumia dola dhidi ya wapinzani wako siyo dalili za kuishiwa na hoja kwenye taifa linalojinadi kufuata mfumo wa kidemokrasia?
Sidhani kama ni sahihi kumfananisha Trump na siasa zetu kwenye suala la matumizi ya dola. Hakuna usawa wa mifano hiyo hata chembe!
Mambo mengi ambayo yanafanywa na dola ya Tanzania dhidi ya upinzani yana ufanano gani na yale anayoyafanya Trump na serikali yake dhidi ya chama pinzani cha Democrats?
Hakuna kufanana hata kidogo, kwanza wagombea wote kuna wakati inafikia wanapewa ulinzi “secret services” ambao ndo wako specialized kwenye usalama wa viongozi hao bila ya kujali chama anachotokea.
Kikubwa kinachofanyika, ni kuwahakikishia ulinzi wakati wanamwaga sera zao kwa wananchi. Tena akitokea anayevuruga mkutano anabebwa juu juu kama karatasi na kutupwa nje. Sasa huku kwetu dola ndo inasimamia ukandamizwaji wa haki, uvunjifu wa sheria na ukiukwaji wa katiba ya nchi yetu halafu katibu mkuu wa ccm ambaye ni professor anaongea maneno kama vile ni mipasho?
Mbunge wa chama chochote cha upinzani marekani anaweza kupigwa risasi mahali popote pale iwe ndani ama nje ya marekani(achilia mbali kwenye maeneo ya bunge kama Lissu), na dola isitumike kufanya uchunguzi? Unaifananisha marekani na Tanzania kwenye utu wa kuthaminiana wenyewe kwa wenyewe? Au mkuu alizungumzia matumizi ya dola kivipi? Anajitia upofu? Ama ni ulevi wa madaraka?
Viongozi ump wanaweza kuthubutu kuzivamia studio za CNN pamoja na kuziita “fake news” kila uchwao? Yaliyotokea cloudsvideo si zipo? Hivyo ndivyo namna ya kutumia dola kubaki madarakani ama ni udikteta?
Mifano iko mingi sana! Lakini kwa kifupi kauli hiyo ya katibu mkuu wa ccm inadhihirisha ukweli kwamba serikali inayotumia dola ili iweze kubaki madarakani, basi imeishiwa na hoja za kuwashawishi watanzania kuweza kuwachagua.
Dola kazi yake kwenye demokrasia, ni kusimamia uwanja sawa wa kila upande uweze kuziwakilisha hoja zake kwa wananchi bila bughudha yoyote ile! Na siyo kutumika na chama kimoja. Hilo likitokea, tunaweza kusema ni udikteta!
Pia nashauri kuwepo na midahalo ili wananchi tuweze kujiridhisha na siyo kupachikiwa viongozi tu bila kusikia uwezo wao wa kusimamia hoja.
Rais ni nembo ya kwanza na mwakilishi wa kwanza kwa Taifa hata nje ya nchi.
Ukimpata rais ambaye hajui mdahalo, kuna uwezekano akawa katili. Ndo maana hatuoni mijadala ya bunge live ili wananchi tuwe proud kuhusu demokrasia yetu na kuona mchango wetu kwa Taifa kupitia wawakilishi wetu nk.
Tungekuwa na midahalo ya wazi na mfumo mzuri, aliyoyahoji Ben Saanane yangeshapatiwa majibu kabla ya mtu kuingia ikulu na Ben kutekwa na kupoteza maisha yake.