Comred Mbwana Allyamtu JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 351 Reaction score 887 Aug 10, 2023 #1 Kutumia gari yenye plate number za nchi ZA. Habarini za leo naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe
Kutumia gari yenye plate number za nchi ZA. Habarini za leo naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Aug 10, 2023 #2 Comred Mbwana Allyamtu said: je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe Click to expand... Ndio, Unaweza kutumia gari yenye plate number za nchi jirani hapa Tanzania kwa muda wa miezi mitatu tu kwa kulipia kibali maalum cha kuingia nchini. Kama unataka kutumia gari hiyo kwa muda mrefu zaidi, utatakiwa kulipa kodi ya usajili na kuhamisha umiliki na kupata plate number za Tanzania. Vinginevyo, utakuwa unakiuka sheria.
Comred Mbwana Allyamtu said: je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe Click to expand... Ndio, Unaweza kutumia gari yenye plate number za nchi jirani hapa Tanzania kwa muda wa miezi mitatu tu kwa kulipia kibali maalum cha kuingia nchini. Kama unataka kutumia gari hiyo kwa muda mrefu zaidi, utatakiwa kulipa kodi ya usajili na kuhamisha umiliki na kupata plate number za Tanzania. Vinginevyo, utakuwa unakiuka sheria.