Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 200
Wadau habarini za leo
Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili?
Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa unaweza kuwa unagomga border unaingia kwa kibali cha kutumia kwa muda. Muda wako ukiisha unatoka afu unagonga tena unaingia. Je hii ni kweli inawezekana? Na kama ndio je ni naweza kufanya hivyo kwa muda gani kabla sijaosajili rasmi Tanzania?