Nenda kaulize hayo maswali yako yote katika Òfisi za TRA zilizo karibu naweWadau habarini za leo
Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili?
Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa unaweza kuwa unagomga border unaingia kwa kibali cha kutumia kwa muda. Muda wako ukiisha unatoka afu unagonga tena unaingia. Je hii ni kweli inawezekana? Na kama ndio je ni naweza kufanya hivyo kwa muda gani kabla sijaosajili rasmi Tanzania?
Inawezekana kabisa ila unapewa miezi mitatu.. Inaitwa special entry.. Baada ya muda huo kama bado hujamaliza michakato yako inabidi gari itoke ulipie tena miezi mingine mitatuWadau habarini za leo