M Mtazamo Chanya Member Joined Nov 6, 2012 Posts 35 Reaction score 5 Nov 7, 2012 #1 Ni muda mrefu sana umepita tangu nisikie kuwa kuna mchakato wa kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo hapa Tz. Je mchakato huo bado upo? Na kama upo kuna anayejua umefikia wapi?
Ni muda mrefu sana umepita tangu nisikie kuwa kuna mchakato wa kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo hapa Tz. Je mchakato huo bado upo? Na kama upo kuna anayejua umefikia wapi?