Kutumia kondomu inaweza kumfanya mwanaume achelewe

Kutumia kondomu inaweza kumfanya mwanaume achelewe

Joined
Sep 10, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Kutumia kondomu inaweza kumfanya mwanaume achelewe kufika kilele, hasa kwa wale wenye tatizo la kufikia mshindo haraka.
 
ni swali au maelezo?? anyway ni kweli kwa sababu bila condom unapata joto linalokusababisha ustimulate higher! kinyume na condom hupati joto stahiki!
 
Hiyo ni kweli kabisa, lkn hasa inawatokea wanaume ambao wana wake zao, alafu wakaamua kuchepuka kwakuwa huku wanalazimika kutumia ndomu. Kwa ambao hawajaoa yaweza isitokee.
 
hiyo inatokea watu wengi sana lkn mi naona ni swala la kiakili kuliko physical. Unajua akili ikijiwekea kwamba ukivaa condom inanywea basi lazma
 
Back
Top Bottom