MwanaumeWaKweli Member Joined Sep 10, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Oct 7, 2015 #1 Kutumia kondomu inaweza kumfanya mwanaume achelewe kufika kilele, hasa kwa wale wenye tatizo la kufikia mshindo haraka.
Kutumia kondomu inaweza kumfanya mwanaume achelewe kufika kilele, hasa kwa wale wenye tatizo la kufikia mshindo haraka.
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 574 Oct 7, 2015 #2 ni swali au maelezo?? anyway ni kweli kwa sababu bila condom unapata joto linalokusababisha ustimulate higher! kinyume na condom hupati joto stahiki!
ni swali au maelezo?? anyway ni kweli kwa sababu bila condom unapata joto linalokusababisha ustimulate higher! kinyume na condom hupati joto stahiki!
M mzee wa misele JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 366 Reaction score 46 Oct 7, 2015 #3 mh, wengine tuna allergy nazo tukitaka kutumia zinalala
I Ikemefuna funa Senior Member Joined Sep 26, 2015 Posts 167 Reaction score 33 Oct 7, 2015 #5 Hiyo ni kweli kabisa, lkn hasa inawatokea wanaume ambao wana wake zao, alafu wakaamua kuchepuka kwakuwa huku wanalazimika kutumia ndomu. Kwa ambao hawajaoa yaweza isitokee.
Hiyo ni kweli kabisa, lkn hasa inawatokea wanaume ambao wana wake zao, alafu wakaamua kuchepuka kwakuwa huku wanalazimika kutumia ndomu. Kwa ambao hawajaoa yaweza isitokee.
MwanaumeWaKweli Member Joined Sep 10, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Oct 9, 2015 Thread starter #6 hiyo inatokea watu wengi sana lkn mi naona ni swala la kiakili kuliko physical. Unajua akili ikijiwekea kwamba ukivaa condom inanywea basi lazma
hiyo inatokea watu wengi sana lkn mi naona ni swala la kiakili kuliko physical. Unajua akili ikijiwekea kwamba ukivaa condom inanywea basi lazma
MwanaumeWaKweli Member Joined Sep 10, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Oct 9, 2015 Thread starter #7 hehe pitia na dume kwa mangi.hahaha