Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
litre 10 hizo za kuandaa kwa maana ya kukanda na kuchoma au kuchoma tu?
Wakuu habari za jioni nilikua naomba kujuzwa. Kwa kiwango hiki cha unga kilo 25 ni sawa kutumia mafuta liter 10 kwenye mapishi ya maandazi. Natumia unga wa Azam wa maandazi. Na vip hakuna maujanja ya kufanya kutumia mafuta chini ya hapo.
@bbade njoo utupe muongozo hapakuandaa na kuchoma
chai na picha ya maandazi...wewe ni mpare?Ukishayachoma hayo maandazi naomba nitumie japo kapicha huko pm ninywee chai
chai na picha ya maandazi...wewe ni mpare?
@bbade njoo utupe muongozo hapa
tangu siku ile ulivyopika yale maandazi matamuNasubiria wajuzi....
Umeanza lini kifuatilia mapishi ya Maandazi?
unakunywaje sasa chai na picha ya vitafunwa!!!Hahahaha..hapana