Kutumia magari ya Serikali kwenda kumpokea Makonda ni matumizi mabaya ya kodi za umma

Kutumia magari ya Serikali kwenda kumpokea Makonda ni matumizi mabaya ya kodi za umma

CCM si ndiyo wameshika Dola!? Au huelewi nini maana Dola!? Sizungumzi pesa ya Mmarekani hapa! Nazungumzia Mamlaka!!

So kama wameshika? Bado ni chama cha siasa kama vyama vingine lazima wafuate sheria za nchi zilizowekwa kwa vyama vya siasa. Haiwapi nguv kutumia resources za nchi kwa kazi ya chama
 
Mali zote za Serikali ni mali za CCM kwa mlango mwingine, kuwabana kwa hili ni ngumu na ndiyo maana tukasema ni lazima tuandike Katiba nyingine ili mali za umma zibakie na umma na kusiwe na chama chochote hata kama ni tawala kuzifanya mali za wananchi ni mali zake.
 
Mkuu kwa nchi yetu Serikali ni ya CCM! Ndiyo kusema Magari ya Serikali ni ya CCM!
 
Back
Top Bottom