Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwa hiyo?CCM ni Chama tawala
CCM si ndiyo wameshika Dola!? Au huelewi nini maana Dola!? Sizungumzi pesa ya Mmarekani hapa! Nazungumzia Mamlaka!!Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
Tii sheria bila shuruti ili Mwenyekiti wako nae apewe mafuta ya kuweka kwenye helicopter yake nae azunguke Nchi nzima,Konda boy anamfanyia mpango kwa Mama asiwe na wasiwasi!!!Kwa hiyo?
Mambo yenu ya CCM usituletee huku au wamekunyima posho mbwiga weweMagari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
CCM si ndiyo wameshika Dola!? Au huelewi nini maana Dola!? Sizungumzi pesa ya Mmarekani hapa! Nazungumzia Mamlaka!!
Wewe ajuza achana na mimiWewe ukienda unapokelewa na nani?
Bila picha ni uchakubimbiMagari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?