Kutumia PSI (Condom)

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
784
Reaction score
228
Wengi tunapo fanya mambo yetu yale na watu ambao hatu waamini huwa tunatumia PSI. Lakini huku tukiwa tunakula lita za fluid. Ina maana hizo PSI tunavaa kwa mazoea au?
 
Leo.!! Kazi ipo. Au ni hangover za Valentine.!?
 
Wapo watu wanaamini kama mdomoni hakuna mchubuko wa aina yeyote kwa pande zote mbili U are safe.
Pia wengine wanasema probability ya kupata through mate ni ndogo kuliko unapoingia mgodin.
Ila ujue haupo salama sana
 
Kwa wale waliocheza faulo jana wanakata kuungwa mkono.Mimi napita tu jamani.
 
Wapo watu wanaamini kama mdomoni hakuna mchubuko wa aina yeyote kwa pande zote mbili U are safe.
Pia wengine wanasema probability ya kupata through mate ni ndogo kuliko unapoingia mgodin.
Ila ujue haupo salama sana
Inawezekana proba ya kupata ikawa ndogo. Lakini huwa najiuliza ni mara ngapi kwa siku mtu anatumia stick kutoa mabaki kwenye meno. Lakini je huoni unapotoa mabaki hayo kunakiasi fulani cha damu kinakuwepo kwenye stick. Fikiria sasa na mwenzio kafanya hivyo na hali kama hiyo (damu kwenye meno) imemtokea pia. Baada ya hapo mnakutana na kuanza kula lita lakini mnapo du mnatumia PSI. Usalama uko wapi?
 
Mbona mmeitaja PSI peke yake kwani hizo nyingine hazipitiwi na Mzee Ekelege(TBS) aka mzee wa ofisi hewa.
 
eeeh .Dawa nikuacha tu no way.Hakuna cha Kondom wala nini.
 
Wengi tunapo fanya mambo yetu yale na watu ambao hatu waamini huwa tunatumia PSI. Lakini huku tukiwa tunakula lita za fluid. Ina maana hizo PSI tunavaa kwa mazoea au?
acha uoga mgodini ndio moto upo bt kitu cha lita shangwe tu coz we cheki mswaki umepigwa saa 12 asbh then domo linapitisha fegi, ugoro, misupu, then b4 game unapandia na kiloba hiyo kechi point iko wapi hamuna...........
 
lakini kuna kawaida ya watu kama hawa kula msosi (ambao unaambatana na matumizi ya stick) kwanza halafu kuduu.
 
Rough Rider, Kamasutra, Durex endelea............
 
kuna TB, Hepatitis A to C, n.k zaidi ya HIV..................kwa hiyo do you really need to swallow her/his saliva? tounging belongs to the six-tees........but tongue free smooching is an on thing today.......
 
kwa bahati mbaya nimejitahidi sana kujizoeza kutumia PSI ila nigundua siwezi,,,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…