Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Sony ina hiyo kitu niliitumiaga kitambo sanaHiyo ni feature inaitwa second space inapatikana kwenye simu zote za Xiaomi zenye MIUI 8 hadi 13 (currently).
Yani kama Windows kwenye laptop ambapo unaweza kuiseparate ikawa na user wawili au zaidi, kila moja mtu anaingia kwa password yakeHabari zenu naombeni kujua je ni aina gani ya redmi yenye uwezo wa kutumia kujigawa simu mbili kwenye simu moja ukiachilia redmi note 11?
Atafute xiomi yenye kuanzia ram 4, hiyo second space hupelekea simu kuwa slowHiyo ni feature inaitwa second space inapatikana kwenye simu zote za Xiaomi zenye MIUI 8 hadi 13 (currently).
Kivipi apooo kwene android za karibu.....mbona simu za android sijawai ona feature hioSimu zote zinafanya hivyo, iwe tu na Android ya karibuni.
Setting then system then multi user kama ipo off weka on, ni feature ya Android kuanzia marshmallow ama pie sikumbuki vizuri.Kivipi apooo kwene android za karibu.....mbona simu za android sijawai ona feature hio
Ila Chief-MkwawaSetting then system then multi user kama ipo off weka on, ni feature ya Android kuanzia marshmallow ama pie sikumbuki vizuri.
Na hata kama hamna kwenye simu yako zipo 3rd party apps kama hii
![]()
Island - Apps on Google Play
Discover the secret Island inside Android, release its mysterious power!play.google.com
Ndio ni feature tofauti, nimempa tu alternative incase multi user haipo.Ila Chief-Mkwawa
Clone app na Second space (Multi user) mimi naona ni kama features mbili tofauti ingawa lengo ni kufanya kitu kimoja kiwe mara mbili.