Ni kweli upo nao kwenye kundi flani?wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani
Usijidanganye kuwa ni pisi zinakutaka mkuu, hao ni watu wa online and network marketing. Ukishasevu namba zao utaanza kuoa status za mambo ya ukiunganisha watu wawili unapata commission...au unakuta ni watu wa forever au bf suma....ndo njia zao za kupata wadau wapya
😀😀😀,Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
Wachangamkie hao hao pisi kali waweza pata mke mwema hukoYeah kuna magrupu ya fursa za ajira mengi nafikiri ndo wao hutokea humo na grupu za maswala ya afya.
Wakati wa kumtafuna hakikisha umempima HIV/STD'S au unatumia ndom.Actually sikuwa naelewa kuwa wananitafuta kwa kazi gani ila nachodhani kuna mmoja nitamtafuna ili iwe fundisho kwa wengine😀😀😀
Sawa mkulugwa 😂Nitasuuza dodoki siku moja we acha wajilete tu.
Starehe ya dk 10 isije ikakufanya ukajutia maisha yako yote.Hilo ntazingatia mkuu, maana vingi ni vibinti vibichi