Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Duh 🤣Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
Yuko winja winja kulee [emoji23][emoji23][emoji23]Kanisusa sana yaanii
Je kwa nini hasa? LinkedInKatika sehemu nataman kuwinda chicks za mtandao ni LinkedIn kule. Any clues🤣?
Hizo picha sio zao mwangangu. Wanaweka picha za pisi ili ushawishike kusave nambaActually sikuwa naelewa kuwa wananitafuta kwa kazi gani ila nachodhani kuna mmoja nitamtafuna ili iwe fundisho kwa wengine[emoji3][emoji3][emoji3]
Hao ni watu wa network marketingNatumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
Huwa nawachapa Block moja la kibabe, Case solved!Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi [emoji1787]
Iwapo uliwahi kuwa member na namba uligawa,basi umeanza kuvuna ulichopanda,sasa tena hofu ya niniNatumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
Ila wasipeleke moto mfukoni/wallet yako tu😀Hizo ni pisi kali mkuu,hongera sana kwa hiyo bahati,
Wewe wapelekee moto tu,namaanisha peleka moto mpaka waite wazima moto "Fire"
Last week alinijia dm, nika muuliza upo mkoa gan akasema Morogoro basi na mm nikajifanya nipo morl nikamwambia njoo hapa ofiso kwangu jengo la Nssf floor 2 njoo nikupe mchongo wa kazi ..kwan hata aliendelea kunichatisha ..mh si akala konaaa mpaka leoNatumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
Tena simulizi za bongo,zenye mazingira na maudhui ya bongo tena mubasharaUtakuwa kwenye makundi ya simulizi bila shaka
Nimewahi kuwa huko na hizi tabia zipo Sanaa aise. Save namba yangu uwe unaona samaki wakavu ninaouzaTena simulizi za bongo,zenye mazingira na maudhui ya bongo tena mubashara