KUTUNZA KITABU NA KODI ZA TRA tunalipaje? ?

KUTUNZA KITABU NA KODI ZA TRA tunalipaje? ?

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
Jamani, nimeandika kitabu changu, nataka kukisambasa mimi mwenyewe, naomba kujua ni kwa namna gani nitalipa kodi TRA, nikiwa na maana kwamba, nisijekusambaza nikapata pesa fulani ambazo hazijalipiewa kodi nikajaambiwa nimekwepa kodi baadaye, ndicho ninachoogopa. kwa wale waliokwisha andika vitabu wakaviuza naomba mwongozo tafadhali, chondechonde!

NB: HAPO NI KUTUNGA KITABU, SIO KUTUNZA....
 
Uza kwanza ndio ulipe kodi. kodi utalipa baada ya kurudisha gharama ulizotumia. Inawezekana pia kitabu chenyewe kisiuzike
 
Mhesimiwa Hute ifi kimbugi kinaendanaga na nyamtuto hasa siku hisi sa ulanzi?
 
Back
Top Bottom