Kutuvalia vimini makanisani Je huu ni ungwananaa kweli???

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
kazi ipo pengine wewe ni mmoja wa unaowatia wenzako majaribuni
usimjaribu mwenzio jamani ,mwisho wa siku mchungaji akikuomba ukampa umelaaniwa na kanisa zima ingawa itakuwa siri yenu
embu jitahdini basi kuvaa nguo za heshima hata kama mshazoea kuwavalia mabosi wenu ili waone q-point church nani anataka kuona hivyo jamani
wahurumieni hata jumapili hii basi
 
Tehe tehe, umezaliwa jana? Pamoja na hayo yote shetani anakanyagwa tu!
 
St. Joseph Dsm wameongeza ubao kwenye mabenchi ya mbele kabisa ili kuzuia padre na watumishi wasione mamboz akina dada wanaokaa mabenchi hayo ya mbele.
Sasa kazi kwenye kifua maana nako.......
Sijui watafanyaje
 
Kwa mtaji huo wanaosali ni wachache, wengi wanaishia kushangaa maumbile ya waumini wenzao tu!
 
Umesahau na ile karatasi waliyoiweka nje iliyoandikwa "Watu wavae nguo za heshima" yale mabenchi ya mbele ilikuwa kuna haja kabisa ya kuweka ubao mkubwa maana padre akiiona kimini hata injili inaweza isishuke vizuri
 
Mambo ya kizungu jamani, mmh lakini huwa tunaingia majaribuni kuna watoto wa mzee mmoja huwa wananipa mfadhaiko kweli, hadi nasahau kinachoendelea kwenye ibada....
 
tena siku hiz wanavaa suruali za kubana hata aibu hawana sijui kizazi hiki kimelaaniwa
 
Kuuona ufalme wa mungu ni kama ngamia kupenya kwnye tundu la sindano!!........
 
Umesahau na ile karatasi waliyoiweka nje iliyoandikwa "Watu wavae nguo za heshima" yale mabenchi ya mbele ilikuwa kuna haja kabisa ya kuweka ubao mkubwa maana padre akiiona kimini hata injili inaweza isishuke vizuri

yaani mapadre wangekua hawavai yale makanzu tungekua tunaona "reaction" ya wanachokiona.
Hata waumiuni hatusali kwa kweli
 
Tena unakuta muumini yupo na kinguo tepetepe juu ya magoti thn check kifuani bado kidogo tu chuchu zionekane na alivoyavimbisha sasa..... mungu atuepushe tu na majaribu muda wa ibada
 
Hili tatizo limeishakuwa sugu...

Heheheheheheh kazi ni kwetu!

Naambiwa kuna baadhi ya makanisa wazee maalu huwakabidhi vitenge wale wote wanaohisi wamevaa kinyume!

Kwa mtaji huo wanaosali ni wachache, wengi wanaishia kushangaa maumbile ya waumini wenzao tu!

Shetani yuko kazini

Mambo ya kizungu jamani, mmh lakini huwa tunaingia majaribuni kuna watoto wa mzee mmoja huwa wananipa mfadhaiko kweli, hadi nasahau kinachoendelea kwenye ibada....

Hahahahahah Ndugu muombe mungu akulinde; huwezi kwa nguvu zako mwenyewe!

yaani mapadre wangekua hawavai yale makanzu tungekua tunaona "reaction" ya wanachokiona.
Hata waumiuni hatusali kwa kweli

Tunapaswa kuwaombea siku zote watumishi wa mungu ili neno lifike kwa walengwa............Tuwaombeeni!
 
Tatizo sio wavaa tuu, hata waonaje nao wanamatatizo.
 
Sisi kwenye majumba yetu ya ibada wanawake na wanaume tunatengwa tofauti.Lakini nadhani hapo ni jukumu la wachungaji na mapadri kukemea maana wao wana sauti na wanaheshimiwa.Nadhani wakikemea kikwelikweli watu hawataacha mapaja nje kwenye nyumba za mungu!
 
haya wanaume endeleeni kuchangia

mi siku hizi naona uvivu hata wa kwenda church. Maana nikitoka huko naona nimetenda dhambi ya kutamani wengi. Inabidi nianze kutubu nikiwa hom badala ya kanisani.
 
mi siku hizi naona uvivu hata wa kwenda church. Maana nikitoka huko naona nimetenda dhambi ya kutamani wengi. Inabidi nianze kutubu nikiwa hom badala ya kanisani.

Basi ili kuepusha kutenda dhambi, hili ndio liwe vazi maalum la kuendea kanisani kila J'pili au J'mosi kwa wale ambao wanasali siku hiyo ili kuwaepusha Wanaume kutenda dhambi.
 
Ni kama vile yamegeuka kuwa "meet markets"

Watu wanaenda wame rock sunday best zao. Unakuta mdada kakupigia red bottoms (hata kama ni feki lol), halafu kivazi cha 'bebe' (halafu ana curves za ukweli), handbag kabeba ya Fendi, shades za Salvatore Ferragamo, halafu anasukuma BMW 650i drop top au Infiniti FX (ile ilokaa kaa kifaru).

Hapo lazima iwe balaa tupu!
 
Basi ili kuepusha kutenda dhambi, hili ndio liwe vazi maalum la kuendea kanisani kila J'pili au J'mosi kwa wale ambao wanasali siku hiyo ili kuwaepusha Wanaume kutenda dhambi.

Ntajikwaa bure ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…