Wakuu hii kitu mapenzi usipokuwa makini unaweza kufanya maamuzi mabaya, kuna tetesi kuwa kuna jamaa mmoja aligundua baada ya kuwa na mtoto mchanga, mapenzi ya mkewe yalihamia kwa mtoto hivyo akajisikia wivu na kuamua kumuua mtoto ili mapenzi yarudi kwake kama mwanzo.
Alichofanya asubuhi moja alipaka sumu kwa hila kwenye chuchu za mkewe akitarajia mtoto akinyonya atadhurika kisha akaondoka kwenda kazini. Mchana akapigiwa simu kwamba kuna msiba nyumbani kwake, huku akijua kinachoendelea akawataarifu rafiki zake kwamba amefiwa na mwanae.
Lahaula,! alipofika nyumbani alipigwa butaa kumuona mwanae mzima na aliyekufa ni House Boy. WanaJF akili kumkichwa unaielewaje hii?
sijaelewa bado,wakati anapaka sumu kwenye hayo maziwa ya mkewe,alikuwa kalala fofofo au?yani mtu ananipaka sumu in my nyonyozi nimelala tu?
Huyo house boy ananyonya ya mtu anaenyoshesha?mbn kama hainiingii akilini?
watu hawana kinyaa eeeh?tam ya toto inatoka maziwa mtu ananyonya?
Hawanaga vinyaa hawa wakikamia kitu chao wanafanyaga maajabusijaelewa bado,wakati anapaka sumu kwenye hayo maziwa ya mkewe,alikuwa kalala fofofo au?yani mtu ananipaka sumu in my nyonyozi nimelala tu?
Huyo house boy ananyonya ya mtu anaenyoshesha?mbn kama hainiingii akilini?
watu hawana kinyaa eeeh?tam ya toto inatoka maziwa mtu ananyonya?
Wewe ni jiniazzzzzzz aisee umeona jinsi habari ilivyojaa matundusijaelewa bado,wakati anapaka sumu kwenye hayo maziwa ya mkewe,alikuwa kalala fofofo au?yani mtu ananipaka sumu in my nyonyozi nimelala tu?
Huyo house boy ananyonya ya mtu anaenyoshesha?mbn kama hainiingii akilini?
watu hawana kinyaa eeeh?tam ya toto inatoka maziwa mtu ananyonya?
Kama watu wananyonya kule kusikoangalika sembuse hapo! Ila dah mshikaji noma, so akanunua hadi sanda ya mwanae.
This is a fictitious story and has been forwarded exhaustively in our emails, @least ungesema you r joking,.....coz its a joke!