Kuuawa kwa Wanajeshi wetu wawili Congo. Je, kuna haja ya TISS na JWTZ kuiga utendaji wa MOSSAD na Jeshi la Israel?

Umenyooka haswa huja pinda pinda hata kidogo
 
Ni kuondoa majeshi yetu toka huko! Tusiendelee kutumiwa na mabeberu kulinda maslahi yao kwa mwavuli wa kulinda amani chini ya UN.
Wanaonufaika na raslimali za Congo ni mabeberu siyo sisi.
Pili hakuna nchi ndogo katika vita! Tukiwa na persipetive view ya kuiangalia Rwanda kama ka nchi kadogo kwamba tunaweza kukapiga siku moja huo ni mtazamo finyu.
Huwezi kujua kuna mataifa mangapi nyuma ya Rwanda.
Russia ilikuwa na mtazamo kama huu wa kuiona Ukraine kama nchi dhaifu lakini ilijikuta inapigana na nchi za US na EU!
Vipi Russia imeweza?
 
Sisi tumeathirika na sii hasaa za kijani na chafuzi zisizoweza kututengenezea Think Tanks zenye uwezo japo wa kung'amua japo mambo ya kitoto achilia yale ya inteligensia ya kitaifa,kikanda na kiulimwengu.
 
unalindaj aman kwa mfano ? bila kuwakabiri hao wanaopigana kweny makaz ya watu
 
China na ukubwa wake lkn Taiwan anamvimbia wasiizarau rwanda ya PAKA tunaweza kuaibika asubuhibtu
 
kulipa kisasi kwa kuuwawa kwa Wanajeshi wetu.
Bottom line huwez lipa kisasi kwenye vita, walienda kule na hiyo ni outcome ya vita. Isitoshe mle aliepotrza wanajeshi wengi ni south africa, umesikia ana seek revenge?

Jeshi linajua nn kinaendelea na wao ndio watalam, usiwafundishe kazi
 
Bottom line huwez lipa kisasi kwenye vita, walienda kule na hiyo ni outcome ya vita. Isitoshe mle aliepotrza wanajeshi wengi ni south africa, umesikia ana seek revenge?

Jeshi linajua nn kinaendelea na wao ndio watalam, usiwafundishe kazi
Ndo mana nimewataja Mossad na Israel sijawataja hao South Africa.

Haijalishi tumepoteza wanajeshi wangapi? Kupoteza ni kupoteza tu na hizi ni damu zetu lazima tuzitetee.
 
Ndo mana nimewataja Mossad na Israel sijawataja hao South Africa.

Haijalishi tumepoteza wanajeshi wangapi? Kupoteza ni kupoteza tu na hizi ni damu zetu lazima tuzitetee.
Walienda vitani kupiga picha? Kule ni war zone, either kill au get killed. Hizo si movie za kihindi unang’ang’ania kulipa kisasi as if ni rahis hivyo

Haya mambo waachie wajeshi wenyewe, si ya kukurupuka
 
Nasikia Viongozi wetu waliahidiwa kupewa Migodi huko lakini anayekufa ni mtoto wa masikini.
 
Israel hii inayofungiwa mlango Bahari na wayemeni ndio inaogopewa ,israel hii ambayo wayemen wanajipigia ballistic usiku kucha mapaka wakasaini amani ndio ikaachwa au ya kufikirika siku hizi haiogopewi palestina wa gaza tu wameivamia kuogopewa maana yake no one dare to attack ila hii they did attack hii iliobamizwa missile na wairan na kuomba protection kutoka mataifa ya Nato , dunia imebadilika amka kutoka usingizini
 
Jibu n
Ndio Russia kaweza maana yupo Ukraine anamiliki zaidi ya mikoa 3 ndani ya ukraine ipo chini yake na baadhi ya miji mikubwa kama Mariupol ipo chini yake kwake ni ushindi .
 
Ndiyo imeweza imechukua maeneo 30%,Ukraine haina jeshi wala silaha zote ni za NATO na Sasa hivi kuanzia USA na ulaya nzima wamekubali kuzungumza na Urusi kwa sababu hawawezi kuipiga urusi.
 
Mkuu hoja yako ni nzuri sana. Binafsi nikiunganishs pamoja na mitazamo ya wadau nina maoni yafuatayo.
Nikweli kabsaa lazima tutunze kumbkumb ya kudum katika hilo tukio ili pia kutengeneza suluhisho la kudumu.
Pia ni vizuri tuunganishe dots za hivyo vifo 2 vifo 14 vilivyo tokea kipindi cha awamu ya tano,Mafanikio ya Mwakibolwa, na i will hit where it pain, mtazamo na tahadhar finyu ya rais wa awamu ya tano juu ya usalama wa kikanda.

Ushauri wako ni mgum kutekelezeka ksasababu zifuatazo.
1.Viongoz wetu wa kisiasa wako inconsistent juu ya masuala ya kiusalama.
2.Watawala wetu wanakipigania saana chama kuliko taifa.
3.Watawala wanawafundsha maadui udhaifu wa watz.
4.Viongoz wetu ni wepesi wa kucheza wimbo wa adui kwa kujua au pasipo kujua hilo linafanya kudhaurika kama taifa.
NB:Huu mgogoro wa drc kipindi hiki, utatupa somo tukipenda kujifunza. Na pia Kilichotokea hapo ni challenge kwa JW/tz na wala sio definition ya udhaifu wa jeshi au idara ya usalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…