Kuulamba mkanda nnje!

amependeza sna ila tungeona upande wa nyuma ningefurahi zaidi lol!!!
 
Kwi kwi kwi unapenda uone nyuma cyo!
 
huyo lazima atakuwa anafanya biashara sana maana alivyovaa hata kama wewe sio mnywaji wa kahawa utavutiwa, he is creative,ni tactics nzuri ya biashara, nadhani akiwezeshwa atakuwa mjaasiriamali mzuri,
 
Eeeeeeeeeeeeeheeee, hata huku kwetu jijini M kuna wajasiriamali wawili wanafanya kazi ya kuuza majani ya chai. Huwa wanapita mitaani wakiimba nyimbo nzuri sana kwa sauti wala hawahitaji spika, hivyo watu wakiwaona huwa wanavutiwa sana na kununua majani hayo ya chai.

Hata huyu kwenye picha ni moja ya ubunifu wake. Si mnaona hata baadhi ya ma-MC kuna mmoja huku kwetu kwenye sherehe moja hivi alivaa suruali ndefu mpaka kifuani kama huyu wa kwenye picha ila alichoongezea yeye ni mikanda minne ya suruali kuanzia kifuani mpaka kitovuni. Aisee alikuwa bomba kinoma.
 
zis is too much yote hiyo ni kuvutia wateja waendelee kupata gahawa
 
zingine sifa sasa, naye anajiona mjaaaanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…