Kuuliza si ujinga: Nyama ya Ukeni kuwa nje

Mchaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
1,378
Reaction score
206
Ndugu zangu naomba kufahamu Nyama ktk uke wa mwanamke zikiwa zimejitokeza nje, maana yake nini? Ufahamu nilionao ni kwamba amekaangwa sana Je hili ni kweli? Au ni maumbile.

Naomba radhi Kama nimeudhi watu.
 
itakuwa imegeuka firigisi....

Nyama nje ngozi ndani!
 
mmh! Itakuwa amira imezidi. Andazi/kitumbua kimeumuka kuliko kawaida.
 
Ndugu zangu naomba kufahamu Nyama ktk uke wa mwanamke zikiwa zimejitokeza nje, maana yake nini? Ufahamu nilionao ni kwamba amekaangwa sana Je hili ni kweli? Au ni maumbile.

Naomba radhi Kama nimeudhi watu.

Mkuu ufahamu wako hauko sahihi. Hayo ni maumbile tu ambayo yanatofautiana kati ya mtu na mtu. Mie wala hujaniudhi kwa sababu aulizaye ataka kujua...usije ukawa unachungulia nanihii 🙂🙂 na ukiona kuna nanihii imejitokeza kwa nje 🙂🙂 basi ufanye hitimisho lako la hapo juu.
 
Nasubiri wataalam zaidi ila Bak umejitahidi lakini bado majibu yako sijaridhika nayo..
 
Maana yake amedinywa sana tena kwa mitwangio over size!
 
Nenda kamuone Gynechologist. Kwa majibu sahaihi na ya kitabibu
 
mkuu natamani nikusaidie lakini sijawahi kuona huo uke ulio kama filigisi(nyama nje ngozi ndani).mia
 
Wahusika wenyewe ma (she) wajibu maana wao waweza toa majibu muafaka kama ni maumbile au kupigika kinoma
 
Ndugu zangu ni vyema tukipata majibu ya kisayansi...asanteni mliojibu kistaarabu.
 
Nadhani unaongelea genital prolapse! Ambayo huwapata mara nyingi watu walioozaa watoto wengi kwa njia ya kawaida vaginal delivery au waliopata difficult labor , lakini pia huwapata mabinti wadogo wenye collagen disorders. Na husababishwa na kulegea misuli inayoshikilia kizazi (kwa ndani) kulegea.
 
mhhh! makubwa hayo.wapenda 'kuingia chumvini' utawajua tu kwa maneno yao
 


hapo ndo mganga wa jadi ungekuwa wa kizungu je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…