Kuuliza si ujinga

Kuuliza si ujinga

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Hivi euro na usd ipi ina thamani kubwa maana
Euro 1 = 2475Tzs
Usd 1 = 2199 Tzs
Inamaana usd inathamani ndogo kuliko Euro au nimekosea/ sijaelewa
 
Kwa sababu umeshasema kuuliza sio ujinga ngoja nikusaidie.

2,475 - 2,199 = 276

Maana yake ni kwamba ukilinganisha Euro na dola, yakupasa uwe na Tshs 276 zaidi ili uweze kununua Euro 1.

Kwa hiyo kupata Euro 1 ni ghali kidogo kuliko kupata Dola 1.

Euro ina thamani kuliko dola.
 
Sasa kwanini wanasema usd ndio pesa yenye thamani
 
Swali sahihi ungetakiwa uulize hivi.

Kwa nini kila pesa inakuwa referred to dollar ili kujua thamani/nguvu ya hiyo pesa.

Okay kujibu swala lako SIO kweli USD ndio yenye thamani kuliko pesa zote. Zipo pesa zenye thamani kuliko dollar. Mfano wake ni hiyo Euro...
 
Usicho nisaidie hapa kwahiyo kuwekwa mbele kwa usd sio kuw inathamani zaidi ya nyingine kwanini hawakutumia currency tofauti na hii
 
Mkuu

Nakuomba nenda ka Google "Bretton Woods Conference" then soma hiyo article kwenye Wikipedia.

Baada ya hapo karibu kwa discussion.
 
Hivi euro na usd ipi ina thamani kubwa maana
Euro 1 = 2475Tzs
Usd 1 = 2199 Tzs
Inamaana usd inathamani ndogo kuliko Euro au nimekosea/ sijaelewa
uthamani wa dola huamaanishi ipo juu ukilinganisha na pesa nyingine, ni ushindani ambao wamarekani wamefanikiwa kuifanya pesa yao kukubalika ulimwengu mzima, ndio kusema dola unaweza kuitumia popote duniani juu ya kuwa kuna pesa nyingi tu zina thamani kubwa kuliko dola lakin huwezi kuzitumia ktk baadhi ya maeneo
 
Back
Top Bottom