Kuuliza si Ujinga

Kuuliza si Ujinga

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Habarini wapenzi wanajamvi
Napenda niulize maswali hata machache tusaidiane mpaka tupate jibu
1. Aliyechora ramani ya dunia yeye alipokuwa akichora alikuwa amesimama wapi
2. Aliyekuwa anatengeneza pesa yeye alitaka alipwe Nini

Tusaidiane jamani mpaka tulipate jibu haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa alikuwa juu ya dunia, kwa sababu aliichora ikiwa tayari ipo! Kabla ya pesa kulikuwa na bata trade, si ajabu baada ya kutengeneza pesa alitaka alipwe mahindi au ngano au kitu kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichora vipande vipande akaunganisha

invest what you are willing to loose
 
Haya maswali nayaonaga fesibuku!..
 
Habarini wapenzi wanajamvi
Napenda niulize maswali hata machache tusaidiane mpaka tupate jibu
1. Aliyechora ramani ya dunia yeye alipokuwa akichora alikuwa amesimama wapi
2. Aliyekuwa anatengeneza pesa yeye alitaka alipwe Nini

Tusaidiane jamani mpaka tulipate jibu haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kunyamaza pia si Ujinga.
 
Back
Top Bottom