Inawezekana kabisa alikuwa juu ya dunia, kwa sababu aliichora ikiwa tayari ipo! Kabla ya pesa kulikuwa na bata trade, si ajabu baada ya kutengeneza pesa alitaka alipwe mahindi au ngano au kitu kingine.Habarini wapenzi wanajamvi
Napenda niulize maswali hata machache tusaidiane mpaka tupate jibu
1. Aliyechora ramani ya dunia yeye alipokuwa akichora alikuwa amesimama wapi
2. Aliyekuwa anatengeneza pesa yeye alitaka alipwe Nini
Tusaidiane jamani mpaka tulipate jibu haswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point ya pili nakuunga mkonoInawezekana kabisa alikuwa juu ya dunia, kwa sababu aliichora ikiwa tayari ipo! Kabla ya pesa kulikuwa na bata trade, si ajabu baada ya kutengeneza pesa alitaka alipwe mahindi au ngano au kitu kingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wapenzi wanajamvi