Kuuliza si ujinga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Naomba kujua full jina la katibu mkuu wa bunge na majina ya wenyeviti wawili
 
Katibu ni Thomas Kashilila na wenyeviti ni Jenista mhagama na Sylivester Mabumba
 
Naomba kujua full jina la katibu mkuu wa bunge na majina ya wenyeviti wawili

Mara nyingi anayeuliza anakua hajui kitu fulani kwa hiyo ni mjinga wa kitu hiko.Hitimisho kuuliza ni ujinga.
 
Una akili fupi, hapa duniani hakuna mtu anayejua kila kitu. Maana yake wanadam wote ni wajinga?
Watch out. Na nina uhakika hilo swali hapo ulikuwa hujui jibu lake na ndio maana hujanijibu
 
Una akili fupi, hapa duniani hakuna mtu anayejua kila kitu. Maana yake wanadam wote ni wajinga?
Watch out

Point yangu ilikua kuikosoa methali mkuu,kila mtu ni mjinga wa jambo fulani.Punguza jazba ungekua una akili ndefu ungenielewa,samahan kama nimekukwaza,my bad
 
Nishapunguza manake nimekereka kweli... Usiwe unaambia watu vitu vyenye karibu na ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…