kanyela mumo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,034 Reaction score 2,117 Oct 27, 2016 #1 Wapi maeneo ya ukonga, naweza kupata mchemsho wa ukweli wenye viwango vilivyo pitiwa na TBS na TFDA. Mpaka tumbo likafurahika sana...?
Wapi maeneo ya ukonga, naweza kupata mchemsho wa ukweli wenye viwango vilivyo pitiwa na TBS na TFDA. Mpaka tumbo likafurahika sana...?
M msambaru JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 245 Reaction score 109 Oct 27, 2016 #2 Nenda TBS pale karibu na TFDA, katakulia utaona kumeandikwa taasisi ya chakula na lishe.
Mr muhuni JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 1,298 Reaction score 1,266 Oct 27, 2016 #3 Kichaa mpya huyu